Traduction24.com

Traduire les paroles en 2 étapes simples!
  • Homepage
  • >
  • D
  • >
  • diamond platnumz – moyo wangu

Artiste: diamond platnumz - Titre: moyo wangu 

Paroles & Traduction: - moyo wangu Ci-dessous, vous trouverez les paroles avec la traduction affichées côte à côte! Sur notre site web, vous trouverez de nombreuses autres paroles avec les traductions de ! Consultez nos archives et les autres paroles, par exemple cliquez sur la lettre d de et voyez quelles chansons nous avons le plus de dans nos archives comme moyo wangu .

ORIGINAL

(Chorous)

Moyo wangu..Moyo wangu mama..

Moyo wangu mimi umeniponza mama!

Moyo wangu,Moyo wangu mama,

Moyo wangu mimi umeniponza mamaa

(Verse one)

Upole wangu simanzi Eeeh!

Kwangu kupenda maradhi iiih!

Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sina...

jichoni kwangu kibanzi Eeeeh!

ninakapenda kamanzi Iiih!

Oooh Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina....

Ufinyu wa mboni zangu, unatazama mengi yanayonipa mateso,

Ukweli hatakupenda sina raha! ona nakonda kwa mawazo.

Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho

Kutwa nzima mara Eeeh! Mara Iiiiii! Hata najuta kupenda....

(Chorous)

Moyo wangu..Moyo wangu mama..

Moyo wangu mimi umeniponza mamaa!

Moyo wangu,Moyo wangu mama,

Moyo wangu mimi umeniponza mamaa

(Vearse two)

Nikutwa kucha maneno,kosa si kosa maneno ilimradi tu karaha tantalila!

(Sina raha)

Ona sina tena mipango (aah ho aah!)

Kutwa nzima nnamawazo jina Mh!

aaaah! Sina raha Oooh! mama

Tamu ya wali ni nazi Eeeh!

Raha ya supu mandazi iiih!

Raha yangu me kupendwa tu naye lakini nyota sina.

Laana napata na radhi Eeeh! Nawakufuru wazazi iii!

Kwakung`ang`ana me kutaka kuwa nae lakini bahati sina!

Masikini roho yangu (roho yanguu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae

Kkila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo

Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho

Kutwa nzima mara Eeeh! Mara Iiiiii! Hata najuta kupenda

TRADUCTION

(Chorous)

Moyo wangu... Moyo wangu mama...

Moyo wangu mimi umeniponza mama !

Moyo wangu,Moyo wangu mama,

Moyo wangu mimi umeniponza mamaa

(Verset un)

Upole wangu simanzi Eeeh !

Kwangu kupenda maradhi iiih !

Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sina...

jichoni kwangu kibanzi Eeeeh !

ninakapenda kamanzi Iiih !

Oooh Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina....

Ufinyu wa mboni zangu, unatazama mengi yanayonipa mateso,

Ukweli hatakupenda sina raha ! ona nakonda kwa mawazo.

Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho

Kutwa nzima mara Eeeh ! Mara Iiiiii ! Hata najuta kupenda....

(Chorous)

Moyo wangu... Moyo wangu mama...

Moyo wangu mimi umeniponza mamaa !

Moyo wangu,Moyo wangu mama,

Moyo wangu mimi umeniponza mamaa

(Vearse deux)

Nikutwa kucha maneno,kosa si kosa maneno ilimradi tu karaha tantalila !

(Sina raha)

Ona sina tena mipango (aah ho aah !)

Kutwa nzima nnamawazo jina Mh !

aaaah ! Sina raha Oooh ! mama

Tamu ya wali ni nazi Eeeh !

Raha ya supu mandazi iiih !

Raha yangu me kupendwa tu naye lakini nyota sina.

Laana napata na radhi Eeeh ! Nawakufuru wazazi iii !

Kwakung`ang`ana me kutaka kuwa nae lakini bahati sina !

Masikini roho yangu (roho yanguu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae

Kkila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo

Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho

Kutwa nzima mara Eeeh ! Mara Iiiiii ! Hata najuta kupenda

traductions des paroles

Les meilleures chansons du monde